Wizara ya Afya
Ufuatiliaji wa Afya ya Wasafiri
Habari Msafiri
Kuondoka safari za ndani

Kwa usalama wako na ustawi wa wale walio karibu nawe, tafadhali jaza mtandaoni Fomu ya Ufuatiliaji wa Afya za wasafiri wa safari za ndani ya nchi ndani ya saa 24 kabla ya kuondoka. Anza kujaza kwa kuweka namba yako ya hati ya kusafiria au kitambulisho chochote ulichonacho na kisha ujaze fomu ya wasafiri.
Watoto wanaosafiri na mzazi/mlezi wajaziwe fomu zao wenyewe na endapo hawana kitambulisho tumia kitambulisho cha mzazi/mlezi kuwajazia.

Ufuatiliaji wa Afya ya Wasafiri
Huduma nyingine
Kipimo cha PCR
Chanjo ya UVIKO 19
Weka namba yako ya hati ya kusafiria au kitambulisho chochote ulichonacho ili kuendelea
TAFADHALI ZINGATIA
Weka namba sahihi ya hati ya kusafiria/Kitambulisho